Latest Post

Wednesday, 1 November 2023

USIPOSOMEWA MAONI YA WAZEE WA BARAZA KWENYE KESI ZA ARDHI, HIYO KESI NZIMA NI BATILI.

|1 comments
 Bashir  Yakub., WAKILKwa wale ambao mna kesi za ardhi katika mabaraza/mahakama za wilaya mnapaswa kujua kuwa ni lazima kusomewa maoni ya wazee wa baraza kabla ya kusomewa hukumu.Kutokusomewa maoni ya wazee wa baraza ni kosa kisheria na inabatilisha kesi nzima. Hivyo ikiwa umekuwa na kesi baraza la ardhi la wilaya, na hukumu imesomwa na kabla ya hukumu wazee wa baraza hawakujitokeza kuwasomea maoni yao, basi kesi hiyo nzima ni batili ...[Readmore]

Friday, 19 August 2022

MKOPAJI ANATAKIWA KUDAI FIDIA IWAPO BENKI IMEUZA NYUMBA YAKE BEI NDOGO.

|0 comments
 BASHIR. YAKUB, WAKILI. -Ni kosa benki au taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani...[Readmore]

Thursday, 18 August 2022

MAHAKAMA INASEMA MWENYE HATIMILIKI NDIYE MWENYE ARDHI UKITOKEA MGOGORO.

|0 comments
BASHIR. YAKUB, WAKILI. -    Kwanini tunawahimiza watu kuhakikisha unaponunua kiwanja, nyumba ama shamba unapata hatimiliki,  majibu yapo kesi No. 35/2019...[Readmore]

Wednesday, 10 August 2022

KWA WANAONUNUA ARDHI WAKALIPA KIASI NA KUBAKIWA NA DENI LA KUMALIZIA.

|0 comments
NA BASHIR. YAKUB, WAKILI  - Kesi ya ardhi Na. 115/2021 kati ya KASSIM NAGOROKI  vs HASSANI KINGUMBI inatupatia funzo muhimu.Kassim alinunua ardhi ekari 4 kutoka ...[Readmore]

Thursday, 28 July 2022

UTARATIBU WA KUPIMA DNA HUU HAPA KWA WAHITAJI

|0 comments
NA  BASHIR  YAKUB, WAKILI -Huna haja ya kuvutana na mtu kuhusu iwapo wewe ni baba wa mtoto au hapana. Nimesema baba kwasababu wasiwasi wa aina hii mara zote upo...[Readmore]

USIANDIKE MKATABA WA UNUNUZI WA ARDHI SERIKALI ZA MITAA UTASHINDWA KUBADILI HATI.

|0 comments
NA BASHIR  YAKUB, WAKILIHapo  awali  niliandika  namna  sheria isivyowaruhusu  viongozi  wa  serikali  za mitaa  (watendaji...[Readmore]

KUHOJI NI KAZI YA WAKILI, SIO YA WAZEE WA BARAZA.

|0 comments
NA BASHIR  YAKUB, WAKILI  -Kifungu cha 265 cha Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai kinataka kesi zote za jinai mahakama kuu ziendeshwe kukiwa na usaidizi wa wazee...[Readmore]

MZAZI MTANZANIA, WATOTO WAKE ALIOWAZAA NJE YA NCHI SIO WATANZANIA, JE ANAWEZA KUWARITHISHA ARDHI TANZANIA ?.

|0 comments
Na Bashir  Yakub, WAKILI. - Wako  Watanzania ambao wako nje ya nchi ambao wamezaa watoto huko. Yawezekana kwa taratibu za  nchi walizomo hao watoto...[Readmore]

UKINUNUA ARDHI NI MUHIMU SANA KUFANYA TRANSFER HARAKA.

|0 comments
Bashir  Yakub, WAKILI. -  1.Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafanya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi)...[Readmore]

IJUE TOFAUTI YA WAKILI NA MWANASHERIA.

|0 comments
Na Bashir  Yakub, WAKILI - Kila Wakili ni Mwanasheria , lakini si kila Mwanasheria ni Wakili.  Wakili ni zaidi ya Mwanasheria. Ili uwe Wakili unaanza kuwa...[Readmore]

MALI ZA MTU ALIYEPOTEA ZINAWEZA KUGAWIWA KWA NJIA YA MIRATHI.

|0 comments
Bashir  Yakub, WAKILI. - Ikiwa ndugu yako, mme, mke, mtoto, kaka, dada nk.amepotea kwa kipindi cha Miaka 7  na hakuna taarifa zozote kujua aliko, basi inaruhusiwa...[Readmore]

KWANI MATUNZO YA MTOTO NI SHILINGI NGAPI KWA MWEZI ?.

|0 comments
Na Bashir  Yakub, WAKILI  -Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto.Kuna wengine hulazimisha wapewe Tshs 150,000/ kwa mwezi, wengine...[Readmore]

KUSABABISHA NDOA KUVUNJIKA SIO SABABU YA KUKOSA MGAO WA MALI.

|0 comments
NA BASHIR YAKUB - Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyepelekea ndoa kuvunjika kama anastahili mgao wa mali. Mfano,mwanamke katika ndoa anaanzisha...[Readmore]

Wednesday, 27 July 2022

NAMNA YA KUCHUKUA PESA ZILIZOACHWA NA MAREHEMU TIGOPESA, MPESA N.K. KAMA HUNA PASSWORD YAKE.

|0 comments
 Na  Bashir  Yakub, WAKILI.  -     Hii itakusaidia kuchukua pesa zilizoachwa na marehemu katika akaunti yake ya simu au hata kutaka kujua...[Readmore]

Thursday, 3 September 2020

HATUA TANO UNAPONUNUA KIWANJA/NYUMBA.

|2 comments
  NA  BASHIR  YAKUB - Mara  nyingi  nimeandika  kuhusu  ardhi  hususan   viwanja  na  nyumba.  Katika  kufanya ...[Readmore]