Saturday, 21 February 2015

VIWANJA/NYUMBA ZINAUZWA NA KUKOPESHWA KUONA BOFYA HAPA


Image result for nyumba nzuri

Image result for viwanja vizuri

                                   ZINGATIAN
yumba na viwanja vyote  vinavyouzwa hapa, uhalali wake,nyaraka zake,pamoja na umiliki wake umethibitishwa kwa  umakini  na wanasheria wetu.

W
anasheria  wetu  watakuandalia mikataba bure, kusimamia manunuzi  yako  bure , watakuandalia  nyaraka  zote zinazohitajika  katika  kutafuta  hati au  kubadilisha   jina bure, na utapatiwa  mwongozo na ushauri wa  ardhi               bure pamoja  na  kupewa mtu  wa kukusaidia kufanya  transfer kwa haraka.

I
kiwa utatokea mgogoro wowote ndani ya mwaka mmoja tangu  tarehe  ya  manunuzi tunatoa  mawakili wetu  bure kukusaidia kuhakikisha mgogoro  huo  unaisha.

K
wa  walio nje ya nchi  nao wanaweza  kununua bila kuingia gharama za kurudi nchini kupitia utaratibu maalum wa kisheria tulioundaa.L
engo letu  kubwa ni  kumpunguzia gharama mnunuzi  na kuhakikisha kamwe mnunuzi anayepitia kwetu haingii katika migogoro wala utapeli uliotamalaki  katika manunuzi  ya  ardhi.

MAWASILIANO  KWA  VIWANJA  NA  NYUMBA  ZOTE  NI  0745216776.


SB  /  PES   /  0015

1.NYUMBA  INAUZWA  MIL  60   M/NYAMALA.
Ipo  Mwananyamala   A , ina  vyumba 12,  ina  leseni  ya  makazi, gari  inafika mlangoni, bei  milioni 60. 


2.  NYUMBA YENYE  HATI  INAUZWA MBAGALA KUU  MIL  65 .
Ipo  Mbagala Kuu , ina  vyumba  4, kimoja master,sebule,dining,jiko, stoo, geti  ya  kuingia  gari,  ina  hati, gari  inafika  mlangoni, bei  milioni 65.


3.  NYUMBA  INAUZWA  MIL  65   M/NYAMALA.
Ipo  Mwananyamala   A , ina  vyumba  6,  ina  leseni  ya  makazi, gari  inafika  mlangoni,bei  milioni 65.


4.  NYUMBA  YA  KUREKEBISHA  INAUZWA TANDALE .
Ipo  Tandale karibu na Tanesco, ina  vyumba  9,  ina  eneo  kubwa  sana, gari  inafika  mlangoni,bei  milioni  57.


5.  NYUMBA  INAUZWA  MIL  65   M/NYAMALA.
Ipo  Mwananyamala   A , ina  vyumba 12,  ina  leseni  ya  makazi, gari  inafika  mlangoni,bei  milioni 65.


6.  NYUMBA  INAUZWA  MIL  65   M/NYAMALA.
Ipo  Mwananyamala   A , ina  vyumba  9 ,  ina  leseni  ya  makazi, gari  inafika  mlangoni, bei  milioni  65.


7. NYUMBA  INAUZWA  MIL  75   MBWENI.
Ipo  Mbweni , ina  vyumba 4,maji, umeme,  gari  inafika  mlangoni, bei  milioni 75.QSB / PES /  0015

1.VIWANJA  VINAUZWA  DEGE   KIGAMBONI.


( i )  Mita 25 x 25 , ni Km 1 kutoka barabara kuu, bei milioni 7,  (ii)  Mita 40 x 40, ni  Km 0.5 kutoka barabara kuu, bei milioni  14  (iii)  Heka 1, ni Km 1.5 kutoka barabara kuu, bei milioni  13.5  (iv)   Heka moja, ni mita 150 kutoka barabara kuu, bei milioni 14  (v)  Heka 1, ni Km 0.8 kutoka barabara kuu, bei milioni  16.5  (vi)  Nusu heka, bei milioni 5.5  (vii) Heka 2 na nusu, bei  milioni 14.5  (viii) Mita 25 x 35,  bei milioni 9.5  (ix) Mita 21 x 40, kiko  chini ya maghorofa ya mradi,  bei milioni 13 .5.SB  /  GUT   /  015

VIWANJA  53 VYENYE  HATI  KARIBU   NA  BARABARA  KUU  VINAUZWA  MBWENI  USALAMA  WA  TAIFA.

Viko  sqm  1305, 1205, 1105, 1205, mbweni usalama wa  taifa , mita 40  kutoka  barabara  ya  lami  na  mita 200  kutoka  baharini, sehemu  tambarare  kabisa, umeme, maji  vipo, usalama  wa  kutosha  ni  eneo  linalolindwa  na  jeshi,  kila  kimoja  kina  hati  yake  Bei  milioni 35 kila  kimoja.

Vingine  sqm 800 ni  viwanja  19 , bei  milioni 35 kila  kimoja ,kila  kimoja  hati  yake,  vimetizamana  na  barabara  ya  lami  kabisa.

Vingine   sqm  1500, viko 3,  bei  milioni  75  kila  kimoja, vimetizamana  na  barabara .


Pia  kipo  cha  sqm 600, kina  hati, kimetizamana  na  barabara  bei  milioni  30.


HLSB /  YUL  7  / 015

1. NYUMBA  2  ZINAUZWA  KOMAKOMA  M/NYAMALA
ZIpo komakoma Malongwe street, kila  moja  inajitegemea,  bei 130 milioni.


2. NYUMBA  INAUZWA  SINZA  KIJIWENI  KARIBU  NA  BARABARA.
Ipo  barabara  ya  shekilango sinza kijiweni, Ina  hati, bei  milioni 370.


HLSB /  YUL  28  / 015

1. NYUMBA   INAUZWA   M. 75  BOKO.
Ipo  book. Eneo ccm  bei  mlioni 75.


4. NYUMBA YA  VYUMBA  8  INAUZWA  VINGUNGUTI
Ipo  ving8unguti  miembeni,  ina vyumba 8  na fremu  ya  duka, bei  milioni 75.5. HOTELI  YENYE GHOROFA  4    INAUZWA  MANDELA ROAD.
Ipo  mandela road  plot Na 1003, ina gohorofa nne vyumba 55 vya  kulala, kumbi tatu za mikutano, restaurant na ofisi, kila ukumbi unachukua watu 300, bei bilioni 3 na milioni 700.


MTSB /  YAM  26  / 015


1. NYUMBA   YENYE  ENEO  KUBWA   INAUZWA  KIMARA  BUCHA.
Ipo kimara  bucha, ukubwa 35x30, bei  miulioni  95 mazungumzo  yapo.


2. NYUMBA   YA  BIASHARA  INAUZWA   SINZA  KUMEKUCHA.
Ipo  sinza  kumekcha, kona  ya  Shekilango,ina maduka, milioni 480.3. NYUMBA YA  GHOROFA  INAUZWA  MBEZI  BEACH.
Ipo  mbezi beach kunguru, sqm 4943, ina  hati, bei  maelewano.4. NYUMBA    MPYA   INAUZWA   GOBA.
Ipo goba, bati ya  kisasa, aluminium window, full tiles, fensi  ya  kumalizia, bei  milioni 90.


5. NYUMBA    YA  VYUMBA  8  INAUZWA   VINGUNGUTI   RELINI.
Ipo vingunguti  relini miembeni, vyumba 8, fremu  ya duka, bei  milioni  78.


6. MASHAMBA   YANAUZWA   BAGAMOYO
Heka 30 kiwangwa milioni 43, pia  zipo  heka 5 visiga, heka 10 kelege.


7.  KIWANJA     KINAUZWA   MILIONI  10  MBWENI  MJI  MPYA.
Kiko  mbweni  mji   mpya, 20x32, bei  milioni  kumi  tu.


HLSB /  YAM  5  / 015

1. NYUMBA  YENYE  KILA  KITU  INAUZWA  BEI  NDOGO   BUNJU  “A”.
Ipo bunju A, ina vyumba  vinne  vya  kulala, stting  na  dining,  ina  maji  na  umeme,  bei  milioni 68 tu.


2. NYUMBA   YENYE  FENSI  INAUZWA  BUNJU  A.
Ipo  bunju A, ina  vyumba vitatu  vya  kulala,  stting, dining, fensi,  maji na umeme, mita  20  kutoka   barabarani,  bei  milioni 155


3. NYUMBA   INAUZWA   BOKO MITA  20  KUTOKA  BARABARANI.
Ipo  boko  ina  vyumba  vitatu  vya  kulala, sitting, dining, fensi, maji  na  umeme, mita  20  kutoka  barabara  ya  boko   ununio,  bei  milioni 365.4. NYUMBA  INAUZWA  MAPINGA  MITA 100  KUTOKA  BARABARANI
Ipo  mapinga  barabara  ya  bagamoyo, ina  vyumba  vitatu  vya  kulala,  sitting, dining, fensi,  maji, umeme, ni  mita 100 kutoka  barabarani,  bei  milioni 975. NYUMBA     INAUZWA  DEGE BEACH  KIGAMBONI.
Ipo  dege  beach  kigamboni, ina  vyumba  vitatu  vya  kulala,  sebule, maegesho ya  gari, imezungushiwa ukuta,  bei  milioni  95.6. SHAMBA  LA  MITI   EKARI   200   LINAUZWA.
Lipo  Lipo  Sao  hill  Iringa,  ni ekari  200  za  mikaratusi,  pines, imekwishakomaa  karibia  60,000, umeme, maji  uhakika,  bei  USD  milioni  1.3


7.  KIWANJA   SQM   1939  KINAUZWA  GOBA.
Kina  hatimiliki,  umeme  upo, karibu  sana  na  barabara   mpya   ya   lami,  bei  maelewano.


HLSB /  PAR   28  / 015

1.NYUMBA  MPYA  SELF CONTAINER  INAUZWA  BUNJU
Ni  nyumba   mpya, selfcontained,  vyumba  vitatu,  sebule,  jiko, stoo,  bei  milioni  85.


SBQ /PAR  22/  015


1.NYUMBA  KUBWA   INAUZWA  CHAMAZI .
Ipo Mbande  chamanzi, iko  karibu  na  uwanja wa Azam complex, ina vyumba 3, master, sebule  kubwa, dining, jiko, stoo,  choo  na  bafu  ndani, iko ndani  ya  fensi, full tiles, bei  milioni 140 mazungumzo  yapo.

HLSB /PAR 21/  015

1.  PLOT   BLOCK   E   INAUZWA  MBEZI  BEACH.
Ipo  mbezi  beach, imeendelezwa,  eneo zuri  sana, ni  kubwa, ni low density, bei milioni  570.

2.VIWANJA  SEHEMU YA UMEME NA MAJI CHANIKA MJINI.
Viko  chanika, vimezingirwa umeme  na  maji, ukubwa 20x20, bei ni ndogo milioni 2 laki tatu tu.


3.NYUMBA MPYA YA GHOROFA INAUZWA  KARIAKOO .
Ipo kariakoo ni nzuri, ya  ghorofa tano, tatu ni godown, ni mpya, mtaa  umechangamka sana, bei  bilioni 1.7.

4.  NYUMBA  INAUZWA  KARIAKOO  MTAA  WA  MAFIA.
Ipo Mtaa wa  mafia kona,  eneo hilo fremu hupangishwa   kwa Tshs milioni  moja kwa mwezi. Bei  maelewano.
HLSB /PAR  14/  015

1.NYUMBA  MPYA   INAUZWA BUNJU .
Ni self contained, ni  mpya, vyumba  vitatu, sebule, jiko, stoo, bei  milioni  80  tu.

2. NYUMBA  YA  BEDROOM  5  INAUZWA   .
Ipo  Lumo  vituka, ina  bedroom 5, sebule  kubwa, imepimwa,  iko  barabarani, ni  safi  sana  huduma  zote  zimekamilika, bei  milioni 85.


3. APARTMENT 3  BEDROOMS  INAUZWA KKOO .
Iko mtaa wa Aggrey  na Livingstone kariakoo, ni  ghorofa  ya  pili,  bei  dola  za  marekani elfu 85.

4. NYUMBA  YA KISASA  KABISA  INAUZWA  .
Ipo Mbezi  kwa  msuguri, kilomita 1.5 kutoka morogoro  road, ina  vyumba 3, sebule, masta, maji  umeme  na geti, bei  milioni  175.


5.  PLOT   SQM  4800  INAUZWA MBWENI.
Ipo  mbweni  malindi, sqm 4800,  ni  kona  karibu  na  barabara  ya  beach, inafaa  kwa  maduka, makazi,  bei  milioni  330.HLSB /PAR  07/  015


1. ENEO   LA   BEACH    LINAUZWA   KIGAMBONI.
Ni  beach  plot,  ipo  kigamboni  mbutu,  hati  ipo,  sqm 993,  bei  milioni  120.


HLSB /CAM 17/ 015

1.  GHOROFA  INAUZWA NYERERE  ROAD
Iko  airwing  Ukonga inafaa  kwa  supermarket, ofisi  bei  milioni  650.


HLSB /CAM  31/ 015

1.  KIWANJA  KILICHOPIMWA  KINAUZWA  BUNJU   A.
Sqm  2000, kipo  bunju A     bulumawe,  eneo  zuri  lenye  barabara  za  mitaa, umeme  na  maji.


2. SHAMBA   LA   EKA   50   LINAUZWA.
Liko  Mlandizi,  lina  mazao  na  nyumba  ndani.   Bei  maelewano.


3.   MASHAMBA  YANAUZWA.
Yapo  bagamoyo, kibaha,  kigamboni,  mkuranga, umeme  na  maji  vipo.


4.   SHAMBA  LINAUZWA  KIBAHA.
Lipo  kibaha  kwa  Mathias ,  kuna  nyumba  ya  vyumba  vitatu, minazi  bonde  la  mboga,   bei  milioni  25.


5. VIWANJA  VINAUZWA   KARIBU  NA  CHUO  KIKUU  HURIA.
Vipo  kwa  Mathias  kibaha karibu  na  chuo  kikuu  huria,  miguu  20x20  bei  milioni  4.SB  /PAR  7/  015

1.NYUMBA  KUBWA   GHOROFA  INAUZWA  GOBA  MBEZI  BEACH.
Ina  hati, Ipo  goba  kunguru  eneo  la  mbezi  beach,   plot  size sqm 4943,  bei  milioni  680.


2. PETROL STATION PLOT INAUZWA DODOMA  MOROGORO  ROAD.
Kibali  cha  ujenzi  tayari  kipo,  hati  ipo,  ukubwa  eka  5,  bei  milioni   350.


3. NYUMBA   YA   VYUMBA   5    INAUZWA   LUMO.
Ina  vyumba  5  na  sebule  kubwa, ipo  lumo  vituka,  ukubwa  wa  eneo  linalobaki  unaweza  kuongeza  nyumba  ya  pili,   bei  milioni  95.


HLSB  /  CAM  24 /  015


1. NYUMBA   ZINAUZWA  MOROGORO  ROAD.
Ni  za  biashara , ziko  manzese  zinapakana  na  morogoro  road. Zina  hati  ya  miaka  99 .


2. VIWANJA   VILIVYOPIMWA   VINAUZWA.
Vipo  kibada, bahari  beach, chanika, tandika, kinzudi, salasala, kibamba, luguruni.3. NYUMBA   ZINAUZWA   KARIAKOO.
Zipo  mitaa  maarufu  ya  livingstone, Aggrey, tandamti, congo na  Swahili.


4. NYUMBA   YA   KISASA   KABISA  INAUZWA  TEMEKE.
Ni  nzuri,  ya  kisasa,  na  kubwa,  ipo wailesi  temeke, mtaa  wa  kitomondo, bei  milioni  230.


5. KIWANJA  KIKUBWA  EKA  2  KINAUZWA .
Kipo  kigamboni, ni  eka  2, kinafaa  kwa  ujenzi  wa  shule, kanisa, n.k,  bei  milioni  65.


6.  SHAMBA   LINAUZWA.
Lipo  kibaha  kwa  Mathias, ni  eka  moja, lina  nyumba  ndogo  ndani, lina  minazi, milioni  20.


7. SHAMBA  LA  MINAZI  LINAUZWA.
Lipo  dondwe  chanika, eka  8,  lipo  barabarani  karibu  na  magereza, bei  milioni  22.


8. SHAMBA   LINAUZWA   KIMBIJI   KARIBU  NA  UFUKWE.
Ni  ekari  2  na  nusu, liko  kimbiji  kigamboni  dar  es  salaam, panafaa  kwa  ufugaji  na kilimo.  Maji  na  umeme  vipo.


9
.  VIWANJA  VYA  BEI  NDOGO  VINAUZWA  KIBAHA.
Vipo  kibaha  Zogowale  panapojengwa  viwanda, 20x20  milioni  2 na  nusu.


SB / CAM  24/ 015

1.NYUMBA  YA  GHOROFA  MOJA  INAUZWA  POSTA  MTAA  NKURUMAH .

Ipo   mtaa   wa   nkurumah   city  center, karibu  na  total  petrol  station, hati  ya  miaka  99  kuanzia  2009, bei  dola milioni  1.7.


2. SHAMBA  EKA  202  ZINAUZWA  KARIBU   NA  MIKUMI.

Farm  Doma,   ipo  morogoro  Iringa  main  road, title  miaka  99,  limepakana  na  hifadhi  ya  mikumi,  panafaa  kwa  chuo,  kambi  ya  utalii,  n.k,  bei  milioni  250.


3.  NYUMBA  YA   KISASA   INAUZWA   PUGU.

Iko  ndani  ya  plot  ya   eka  moja  na  nusu, bedroom  3  zote  self contained,  room  ya  nne  sio  self,  maduka 8 ,  mabanda  3  ya  mifugo,  umeme  na  maji  vipo,  bei  milioni 230.


SYB/ 1/015.

1. KIWANJA  KIZURI  KINAUZWA  MWANZA  KARIBU  NA KIWANDA      COCA .
Kipo  mwanza  igoma, ni  mita 100  kutoka  kiwanda  cha  cocacola  na  mita 120  kutoka  mnada  wa  ngombe,  gari  mpaka  mlangoni,  urefu  mita 70 upana 45  bei  milioni  13  tu.


HLSB /CAM 10015

1,  NYUMBA   YA   GHOROFA   INAUZWA   AGGREY  KKOO.
Ipo  kariakoo  mtaa  maarufu  kabisa  kwa  biashara Aggrey,  ni  ghorofa  mbili  zote  zimesheheni  maduka.2. NYUMBA   INAUZWA   MAGOMENI   MAPIPA.
Ipo  magomeni  mapipa  mtaa  wa  idrisa,  eneo  linafaa  kwa  vitega  uchumi, mtaa  una  barabara  mbili,  bei  milioni  375.3. GESTI   YA   KISASA   MPYA   INAUZWA.
Ipo  manzese  darajani, vyumba  kumi  vyote   self conteina, huduma  zote  zipo, bei  milioni  430.4. GHOROFA   INAUZWA   NYERERE   ROAD.
Ni  nyumba  ya  ghorofa  moja, ipo airwing  nyerere  road, inafaa  kwa  supermarket, bei  milioni   620.5. PLOT   YENYE   HATI   EKA  5   INAUZWA  KIBAMBA.
Ni plot  ya eka 3-5 , ipo  barabara  ya  morogoro  kibamba,  bei  milioni  250.6.  VIWANJA  VYA  BEI  NDOGO  VINAUZWA  KIBAHA.
Vipo  kibaha  Zogowale  panapojengwa  viwanda, 20x20  milioni  2 na  nusu.7. MASHAMBA  YANAUZWA  BEI  RAHISI.

Fukayosi  eka 50@ milioni  moja  kwa eka, Vikawe  eka 2@ milioni 2.5 kwa eka, mapinga 2.5,HLSB /BER 24/ 015


1.  VIWANJA  VINAUZWA  25X21
Viko  kijichi, kibamba  kibwegere  25x21, Bei  milioni  15.


2. SHAMBA  LA  MINAZI   EKA  8  LINAUZWA, LIKO                           BARABARANI
Lipo  dondwe  chanika, eka 8, lipo  barabarani  karibu  na  magereza, bei  milioni  25.


3.   NYUMBA   ZA  KISASA  ZENYE  HATI  ZINAUZWA.
Zipo vikindu, zina  hati  miliki  ya  miaka 99 kuanzia 2013,  bei  kuanzia  milioni  65.


HLSB /CAM  3/ 015

1.     NYUMBA   YENYE  VYUMBA 3 , GETI  INAUZWA.
Iko  mbezi  kwa  msuguri,km 1.5 kutoka  morogoro  road, vyumba 3, sebule 2, dining room, ina geti. Bei  maelewano.

2.     NYUMBA   ZINAUZWA  GOBA.
Ziko  goba  bei  milioni 90, ni  za  kuingia  moja  kwa  moja  na  zisizoisha  zipo.

3.   VIWANJA   VINAUZWA  SQM   940-1400  VIMEPIMWA.
Vipo  mikwambe, mwembemtengu  nyuma  ya fun city, bei  milioni 40-50.

4.    MASHAMBA  YANAUZWA   GOBA YAPO  MENGI.
Yapo  goba, heka  moja 60,000,000/=, zipo  heka  nyingi.

5.    VIWANJA  VINAUZWA 50 X 50.
Vipo  kisemvule  kitongoji  tope, ukubwa 50ft x 50ft, 50ft  x 60ft, 50ft x 75ft, bei milioni  2  mpaka  milioni  3.5.


6.     VIWANJA  VINGI   VINAUZWA  GOBA.
20X30, 20X25  Milioni 11, Milioni  10  na  milioni  9.


7.     VIWANJA   VINAUZWA  MKURANGA  DISTRICT.
Vipo  wilayani  mkuranga  vikindu,( vianzi mfuru) vimepimwa  m20x20  vikiwa  na  barabara  za  upana  wa m 5, bei  milioni 2.5


8.     VIWANJA  VINAUZWA  DEGE  BEACH  KIGAMBONI.
Viwanja  vimepimwa, ukubwa  sqm , vipo  dege  beach  kigamboni  karibu  na  maghorofa  ya  mradi  wa ECO  village, bei  kuanzia  milioni 15-19.


9.       VIWANJA  VINAUZWA  PUGU  KINYAMWEZI
Viwanja na  nyumba pugu  kinyamwezi, chanika, mkuranga, wazo, bunju, kiwalani, bei  kuanzia  milioni  3.5 – 110. 


HLSB /BER 17/ 015.

1.                 GODOWN    2    ZINAUZWA.
Zote  zipo  relini  Vingunguti. Moja sqm 508  bei  Tshs  650 milioni.
Jingine   sqm  725  bei  Tshs 800 milioni.2.       NYUMBA   INAUZWA   INA   MADUKA   7.
Ni ya biashara, iko buguruni kona, ina maduka saba  ya biashara  bei Tshs 175 milioni.3.      NYUMBA   INAUZWA,  INA    HATI.
Ipo  buguruni malapa  karibu na barabara  ya lami. Bei Tshs  325 milioni, ina hati . Nyingine ipo Tandika  kitungo  bei Tshs  325 milioni.4.      NYUMBA   INAUZWA,  KWA   BIASHARA,  MAKAZI.
Ipo mtaa wa  kitomondo  Walesi Temeke inafaa kwa biashara, ofisi  na makazi. Bei Tshs  235 milioni.5.    NYUMBA   INAUZWA,  NI   MASTA.
Iko mpiji magoe, km 7 kutoka Morogoro road , vyumba vitatu, masta, jiko, sitting, dining, imefkia linta,  uwanja mkubwa, umeme  maji  vipo.


6. VIWANJA   VINAUZWA   BEI   NDOGO.
Viko  nane, vipo madale kwa kawawa, ukubwa mita 20x40, bei Tshs 16.5 ( milioni kumi na sita na laki tano)HLSB / BER 10/  015

1.NYUMBA   INAUZWA   UWANJA   WA   NDEGE.
Ipo karakata, karibu  na uwanja wa ndege wa kimataifa, ipo mita tatu  kutoka barabara ya nyerere  bei Tshs  milioni  250.2.VIWANJA   8   VYENE   HATI    VINAUZWA.
Viko kigamboni Dege, Tshs 30,000/= kwa sqm.3. SHAMBA  LENYE  TITLE   LINAUZWA.
Ni  eka 100, Liko  sanzare  mjini bagamoyo km 3 kutoka stendi ya bagamoyo.4. PLOT  INAUZWA, IMEPIMWA
Ipo  nia njema  mjini bagamoyo, sqm 1200, imepimwa  eneo ni tulivu  kwa makazi ya kisasa,  bei Tshs  28 milioni.5. SHAMBA  LA  UMWAGILIAJI   LINAUZWA.
Lipo  ruvu ni eka 17, kuna nyumba ya mlinzi  na vifaa vya umwagiliaji.  Bei  Tshs  50 milioni.6.SHAMBA  JINGINE  LA  UMWAGILIAJI   LINAUZWA.
Lipo  Bagamoyo km 10  kutoka mjini , ni eka  56 ,  Bei  Tshs  55 milioni.7. MASHAMBA  VIWANJA/MASHAMBA   VINAUZWA.
Viko  kibaha msugusugu, eka moja Tshs  5 milioni,  Viwanja 25x25 milioni tatu na nusu,  na 20x20  mil 2.HLSB /CED 16/ 0014


2.NYUMBA  INAUZWA  INA  FREMU  15.
Ipo   tabata, ina fremu 15, milioni 290.  Nyingine ipo kongowe milioni 25.3.NYUMBA  INAUZWA  NI  MASTA.
Ipo chanika nguvu kazi, ina vyumba vitatu, masta , sitting, dining, jiko, choo cha nje, uwanja mkubwa, na fremu za maduka.  Bei maelewano.4.NYUMBA  INAUZWA  NI  YA  KISASA  NA  UWANJA  MKUBWA.
Ipo bunju, Ina  vyumba vitatu,sebule , jiko  na choo, ni ya kisasa ina uwanja mkubwa.5.NYUMBA  INAUZWA  SINZA  VYUMBA  8.
Ipo sinza, ni gesti, masta, A/C, maji, sliding window,fensi sehemu  ya kinywaji, parking, milioni 350.


6.NYUMBA  INAUZWA  UWANJA  UNABAKI  SQM  1200.
Iko mbezi luis, mita 600 kutoka stend mpya,fensi imara,Barabara,umeme,selfcontained, vyumba 3, stoo 2, uwanja  wa sqm 1200 umesakafiwa. Bei maelewano.7.NYUMBA  INAUZWA   INATIZAMANA   NA  MLIMANI  CITY.
Ni ya kumalizia, bei milioni  550.8. NYUMBA  INAUZWA   VYUMBA   SITA.
Ipo kibamba njia panda  ya shule, vyumba sita na maeneo mbele, gari mpaka barazani, bei  milioni  40.


9. KIWANJA   KINAUZWA   MALINDI   BEACH
Kina hati, Kipo mbweni malindi beach road, sqm 2800, kinafaa kwa makazi na biashara.10. PLOT  EKARI   4  INAUZWA
Ipo kilwa  road kisemvule,inafaa  kwa shule  kiwanda n.k.11. ENEO  LINAUZWA  TEGETA, NI  PLOT  32.
Ni tegeta block E Plot 32,sqm 840, karibu soko la nyuki, Bei milioni  180.


12. KIWANJA   CHENYE  HATI   KINAUZWA.
Kuna nyumba ndogo, eneo kubwa  robo heka,kipo tabata aroma,bei milioni 200.


13. PLOT  INAUZWA.
Plot ia banda ndani,ipo mbagala kipati, ukubwa miguu 50x70, bei milioni 90.14. MASHAMBA/ NYUMBA  HEKA  S0 – 500  VINAUZWA.
Mashamba  ni kuanzia heka 50-500,ni bagamoyo,kibaha,mkuranga, mtwara, miundo mbinu safi.15. KIWANJA   KINAUZWA,  SQM   1100   VIJIBWENI.
Kina ukubwa wa sqm 1100,kiko vijibweni kigamboni,bei milioni 65.16. VIWANJA  2  VINAUZWA, VYOTE   VINA   HATI.
Kipo mbweni mpiji,sqm 800, bei milioni 55. Kingine sqm 1000, kina hati,kipo mbweni mpiji, bei milioni 65.17. VIWANJA   2  VYENYE  HATI   VINAUZWA  MBWENI  JKT.
Kipo mbweni  jkt  sqm 1500,kina hati, bei milioni 155. Kingine sqm i200, hapohapo mbweni, bei milioni 145.


18. ENEO  LINAUZWA, EKA 10.
Liko mapinga km 1  kutoka bagamoyo road, ni eka 10,maji umeme upo, bei milioni  580.


19. EKA  12   ZINATIZAMANA  NA  MOROGORO  ROAD  ZINAUZWA.
Lipo kibaha visiga,linatizamana na morogoro road, linafaa kwa yadi, kituo cha mafuta n.k. Bei milioni 750.20. MASHAMBA  YANAUZWA  BAGAMOYO, EKA  8.
Yapo  fukayosi  bagamoyo, bei  milioni  1.5  kwa  eka  moja.21. VIWANJA   VYA  BEI   NDOGO   VINAUZWA.
Vipo kimata, mbezi, kibamba, bunju, tabata, mbagala. Hatua  za  miguu 20x20, bei kuanzia  milioni  2.


HLSB /CED 23/ 0014

1.  SHAMBA  LA  EKA  30  LINAUZWA  BAGAMOYO.
Shamba eka 30, km 2.5 kutoka barabara kuu ya bagamoyo msata, limepimwa, bei milioni 780.2.  KIWANJA  KINAUZWA, TBA  BUNJU.
Kipo bunju A, mkabala na nyumba mpya za TBA, kipo barabarani,maji, umeme vinapatikana.


HLSB /NAR 6/ 0015

1.BAR  YENYE  FREMU  ZA  MADUKA   INAUZWA.
Ipo  ubungo  kibangu  eneo  la  Johns corner, bei  milioni  335.2.KIWANJA  KINAUZWA, KINA  HATI.
Kipo goba, kina hati, eneo mita za mraba 1983, umeme upo, kinafaa kwa shule, hospitali, kituo cha mafuta, kumbi.n.k.  bei  milioni  88.

HLSB /NAR 13/  0015.

1.NYUMBA  MBILI  2  UBUNGO  RIVER  ZINAUZWA.
Ubungo riverside ina vyumba 13, bei 165  milioni. Nyingine mtoni kijichi, vyumba 8, bei  milioni 125.2.NYUMBA  YA  GHOROFA  INAUZWA.
Iko upanga, ina vyumba vitano, bei maelewano.3.GODOWN  YADI  VINAUZWA  MANDELA ROAD.
Vipo Mandela road, kuanzia  heka  moja  hadi  tatu.4.NYUMBA  INAUZWA  MAKUMBUSHO  STENDI.
Ipo makumbusho standi, bedroom 5 na servant quarter,self contained,fensi imara,  bei  400  milioni  tu.5.NYUMBA  2  NZURI  ZINAUZWA  KIJITONYAMA.
Kijitonyama   ina  vyumba  4, fensi, bei milioni  270. Nyingine makongo juu, vyumba 3, fensi,  bei  milioni  200  milioni.6.NYUMBA   INAUZWA   INATIZAMANA   NA  GEREZA   KEKO.
Ina hati,Ipo keko inatizamana na gereza,  polt ya kona, sqm 550, bei shilingi milioni 450.7. NYUMBA  INAUZWA   MAGOMENI   MAPIPA.
Ipo  magomeni  mapipa,  jirani  na  KKT, mtaa  wa  kwanza  kutoka  morogoro road, bei milioni 550.


8.NYUMBA  INAUZWA  CHANGOMBE  BORA, TRA.
Ipo  changombe  bora, barabara kuu ya temeke, inafaa kwa benki, supermarket,bei milioni 530.


9.NYUMBA  INAUZWA ,VYUMBA  9, UKUMBI   WA   BAA.
Ipo  kiwalani  kituo  cha  kijiwe samli, plot imepimwa, vyumba  tisa  na  ukumbi  wa  baa, bei  milioni  65 tu.


10. NYUMBA  INAUZWA KIWALANI.
Ipo  temeke  sandali  veterinary, eneo ni tulivu sana kwa makazi, huduma zote zipo, bei  milioni  75  tu.11. NYUMBA  INAUZWA  BUNJU  B, INA  HATI.
Ipo bunju B, ina vyumba 3, haijakamilika, ina hati miliki, sqm 1543, bei maelewano.KUMBUKA MAWASILIANO  YA  NYUMBA  NA  VIWANJA  VYOTE   NI  0745216776.                              ..……………..ITAENDELEA……………….
 


  


6 comments:

 • Benjamin Issa says:
  3 July 2016 at 12:46

  SHULE INAUZWA-MOROGORO CHAMWINO, MILLIONI 80, MAWASILIANO 0713974490, 0759313207

 • Greg Owen says:
  7 September 2017 at 07:43

  Je! Unahitaji mkopo wa haraka, mrefu au mfupi kwa kiwango cha riba cha chini
  chini ya 3%?

  Gregowenloanfirm1@gmail.com

  Tunatoa mkopo wa biashara:
  Mkopo wa kibinafsi:
  Mkopo wa nyumbani:
  Mkopo wa Auto:
  Mkopo wa mwanafunzi:
  Mkopo wa kuimarisha madeni: e.t.c.

  Haijalishi score.we yako ya mikopo ni uhakika katika kutoa nje
  huduma za kifedha kwa wateja wetu wengi duniani kote.
  Kwa vifurushi vyetu vya mikopo rahisi,
  Mikopo inaweza kusindika na kuhamishiwa kwa mtu aliyepaa ndani
  muda mfupi iwezekanavyo.
   
  Ikiwa unahitaji kuwasiliana na mkopo haraka kupitia barua pepe:

  gregowenloanfirm1@gmail.com

  3% ya kuaminika mkopo kutoa uhakika.

 • Greg Owen says:
  18 September 2017 at 11:41

  Je! Unahitaji mkopo wa haraka, mrefu au mrefu kwa kiwango cha riba cha chini
  chini ya 3%?

  Gregowenloanfirm1@gmail.com

  Tunatoa mkopo wa biashara:
  Mkopo wa kibinafsi:
  Mkopo wa nyumbani:
  Mkopo wa Auto:
  Mkopo wa mwanafunzi:
  Mkopo wa kuimarisha madeni: e.t.c.

  Haijalishi score.we yako ya mikopo ni uhakika katika kutoa nje
  huduma za kifedha kwa wateja wetu wengi duniani kote.
  Kwa vifurushi vyenye mikopo rahisi,
  Mikopo inaweza kusindika na kuhamishiwa kwa akopaye ndani
  muda mfupi iwezekanavyo.
   
  Ikiwa unahitaji kuwasiliana na mkopo haraka kupitia barua pepe:

  gregowenloanfirm1@gmail.com

  3% ya kuaminika mkopo kutoa uhakika.

 • babaney gss says:
  31 January 2018 at 05:49

  Siyo siri Nina uhitaji wa mkopo wanye riba nafuu,lengo langu ni kukuza biashara yangu na kuifanya iwe imaraa.

 • Greg Owen says:
  6 July 2018 at 07:37

  Kupata mkopo wa halali daima imekuwa tatizo kubwa Kwa wateja ambao wana shida ya kifedha na wanahitaji ufumbuzi. Suala la mkopo na dhamana ni kitu ambacho wateja daima wana wasiwasi kuhusu wakati wa kutafuta mkopo kutoka kwa mkopeshaji halali. Lakini, tumefanya tofauti hiyo katika sekta ya mikopo. Tunaweza kupanga kwa mkopo kutoka kwa kiwango cha Euro 5,000. hadi Euro 500,000.000 chini ya riba ya 3% Kindly kujibu kwa barua pepe hii: Gregowenloanfirm1@gmail.com  Huduma zetu ni pamoja na zifuatazo:  1) Madeni ya Kuunganisha

  2) Mortgage ya Pili

  3) Mikopo ya Biashara

  4) Mikopo ya kibinafsi

  5) Mikopo ya Kimataifa

  6) Mkopo kwa aina yoyote

  7) Mkopo wa familia E.T.C  Hakuna usalama wa kijamii na hundi ya mikopo, 100% Dhamana. Wote unachotakiwa kufanya ni kutujulisha hasa unachotaka na tutafanya ndoto yako iwe kweli. GREG OWEN LOAN FIRM1 inasema Ndio wakati mabenki yako yanasema NO. Hatimaye, tunafadhili kampuni ndogo ya mkopo, wasimamizi, taasisi za fedha za wadogo kwa kuwa tuna mtaji usio na ukomo. Kwa maelezo zaidi kuhusu kwenda kupata mkopo kuwasiliana na sisi, Kindly kujibu mara moja.  Info ya Mawasiliano ya Kampuni

  Anwani ya barua pepe: Gregowenloanfirm1@gmail.com

 • miss rose says:
  12 October 2018 at 03:29

  Ahoj,

  Hľadáte podnikateľskú pôžičku, osobnú pôžičku, hypotéku, úver na auto, pôžičky, pôžičky na konsolidáciu dlhov, nezabezpečené úvery, rizikový kapitál atď. Alebo máte pôžičku od banky alebo finančná konfigurácia bola zamietnutá alebo viac dôvody, nie svoje úverové riešenia! Som slečna Roseová, súkromná veriteľka, ktorá poskytuje podnikom a jednotlivcom úvery za nízku a cenovú úrokovú sadzbu vo výške 2%. Máte záujem? Kontaktujte nás s cieľom zaobchádzať s úverom po prevode do 48 hodín. Kontakt: missroseloanfirm@hotmail.com
  aplikácie

  Názov:
  Dátum narodenia:
  Rod:
  Rodinný stav:
  adresa:
  umiestnenia
  Postavenie:
  Poštové smerovacie číslo:
  Krajina:
  telefón:
  E-mail:
  Uveďte účel úveru:
  Výška pôžičky:
  Trvanie úveru:
  Mesačný čistý príjem.

  Späť k mne čo najskôr s vyššie uvedenými informáciami získate viac informácií.

  Slečna Roseová

Post a Comment