Tuesday, 27 May 2025
›
1 comment:
Wednesday, 1 November 2023
USIPOSOMEWA MAONI YA WAZEE WA BARAZA KWENYE KESI ZA ARDHI, HIYO KESI NZIMA NI BATILI.
›
Bashir Yakub., WAKIL Kwa wale ambao mna kesi za ardhi katika mabaraza/mahakama za wilaya mnapaswa kujua kuwa ni lazima kusomewa maoni ya ...
3 comments:
Friday, 19 August 2022
MKOPAJI ANATAKIWA KUDAI FIDIA IWAPO BENKI IMEUZA NYUMBA YAKE BEI NDOGO.
›
BASHIR. YAKUB, WAKILI. - Ni kosa benki au taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo be...
Thursday, 18 August 2022
MAHAKAMA INASEMA MWENYE HATIMILIKI NDIYE MWENYE ARDHI UKITOKEA MGOGORO.
›
BASHIR. YAKUB, WAKILI. - Kwanini tunawahimiza watu kuhakikisha unaponunua kiwanja, nyumba ama shamba unapata hatimiliki, majibu yapo ke...
Wednesday, 10 August 2022
KWA WANAONUNUA ARDHI WAKALIPA KIASI NA KUBAKIWA NA DENI LA KUMALIZIA.
›
NA BASHIR. YAKUB, WAKILI - Kesi ya ardhi Na. 115/2021 kati ya KASSIM NAGOROKI vs HASSANI KINGUMBI inatupatia funzo muhimu. Kassim alinunu...
Thursday, 28 July 2022
UTARATIBU WA KUPIMA DNA HUU HAPA KWA WAHITAJI
›
NA BASHIR YAKUB, WAKILI - Huna haja ya kuvutana na mtu kuhusu iwapo wewe ni baba wa mtoto au hapana. Nimesema baba kwasababu wasiwasi wa a...
USIANDIKE MKATABA WA UNUNUZI WA ARDHI SERIKALI ZA MITAA UTASHINDWA KUBADILI HATI.
›
NA BASHIR YAKUB, WAKILI Hapo awali niliandika namna sheria isivyowaruhusu viongozi wa serikali za mitaa (watendaji kata, wenyeviti...
KUHOJI NI KAZI YA WAKILI, SIO YA WAZEE WA BARAZA.
›
NA BASHIR YAKUB, WAKILI - Kifungu cha 265 cha Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Jinai kinataka kesi zote za jinai mahakama kuu ziendeshwe kuki...
MZAZI MTANZANIA, WATOTO WAKE ALIOWAZAA NJE YA NCHI SIO WATANZANIA, JE ANAWEZA KUWARITHISHA ARDHI TANZANIA ?.
›
Na Bashir Yakub, WAKILI. - Wako Watanzania ambao wako nje ya nchi ambao wamezaa watoto huko. Yawezekana kwa taratibu za nchi walizomo h...
UKINUNUA ARDHI NI MUHIMU SANA KUFANYA TRANSFER HARAKA.
›
Bashir Yakub, WAKILI. - 1.Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafanya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda ji...
IJUE TOFAUTI YA WAKILI NA MWANASHERIA.
›
Na Bashir Yakub, WAKILI - Kila Wakili ni Mwanasheria , lakini si kila Mwanasheria ni Wakili. Wakili ni zaidi ya Mwanasheria. Ili uwe Waki...
MALI ZA MTU ALIYEPOTEA ZINAWEZA KUGAWIWA KWA NJIA YA MIRATHI.
›
Bashir Yakub, WAKILI. - Ikiwa ndugu yako, mme, mke, mtoto, kaka, dada nk.amepotea kwa kipindi cha Miaka 7 na hakuna taarifa zozote kujua ...
KWANI MATUNZO YA MTOTO NI SHILINGI NGAPI KWA MWEZI ?.
›
Na Bashir Yakub, WAKILI - Hakuna kiwango maalum cha kutoa kwa mzazi mwenza kama matunzo ya mtoto. Kuna wengine hulazimisha wapewe Tshs 150...
KUSABABISHA NDOA KUVUNJIKA SIO SABABU YA KUKOSA MGAO WA MALI.
›
NA BASHIR YAKUB - Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyepelekea ndoa kuvunjika kama anastahili mgao wa mali. Mfano,m...
Wednesday, 27 July 2022
NAMNA YA KUCHUKUA PESA ZILIZOACHWA NA MAREHEMU TIGOPESA, MPESA N.K. KAMA HUNA PASSWORD YAKE.
›
Na Bashir Yakub, WAKILI. - Hii itakusaidia kuchukua pesa zilizoachwa na marehemu katika akaunti yake ya simu au hata kutaka kujua ...
Thursday, 3 September 2020
HATUA TANO UNAPONUNUA KIWANJA/NYUMBA.
›
NA BASHIR YAKUB - Mara nyingi nimeandika kuhusu ardhi hususan viwanja na nyumba. Katika kufanya hivyo mara ...
3 comments:
›
Home
View web version