tag:blogger.com,1999:blog-3462351921864029511.post6048554412076061004..comments2023-10-24T06:50:47.300-07:00Comments on Sheria Yakub Blog: JE UMENYANYASWA NA MWAJIRI, HII NI NAMNA YA KUMFUNGULIA MASHTAKA .Bashir Yakubhttp://www.blogger.com/profile/03439300159654201007noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-3462351921864029511.post-17582085631839868532019-12-13T23:24:37.643-08:002019-12-13T23:24:37.643-08:00KomaaaKomaaaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10619569151600867060noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3462351921864029511.post-10882440637336150162019-12-13T23:24:25.604-08:002019-12-13T23:24:25.604-08:00KomaaaKomaaaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10619569151600867060noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3462351921864029511.post-90933218302770303912016-01-31T02:00:19.022-08:002016-01-31T02:00:19.022-08:00Msaada mkuu
Pindi nilipoingia mkataba Na mwajiri ...Msaada mkuu <br />Pindi nilipoingia mkataba Na mwajiri wangu mkataba ulieleza kua nitalipwa night allowance lakini tangu nilipo anza kazi sikuwahi kupata night allowance.hivyo baada ya mwaka mmoja niliandika barua nikimuomba mwajiri arejee terms za mkataba lakini barua haikujibiwa miaka mingine mitatu mfululizo nilimwandia tena lakini hakujibu.sasa mwezi wa saba mwaka Jana ikiwa nimetimiza miaka mitano niliandika barua nyingine lakini hii alijibu akadai ya kwamba sharia imebadilika kutokana Na kazi unayofanya <br />(doctor) sheria hairuhusu wewe kupata night allowance. lakini kumbuka hakushauriana Na mimi Na wala hakunipa notice yoyote juu ya mabadiliko hayo Na isitoshe mkataba ni ulele nilio anza anao kazi kwa maana hiyo pasipo Ku update mkataba INA maana amekubali terms Na conditions ziendelee .je kwa hili naweza kumshtaki msaada tafadhaliAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/01743766286182100848noreply@blogger.com